Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa si ni kwel, Nyie modrn stadiums hamzijui amna kitu mtaeleweshwa mtakubali, kwan how many times was i here giving free education on skyboxes? haya sasa kiko wap?
Ndio hii hapa nje ya uwanja
SkyBox ni nje ya structure ya uwanja, a special place created to be dependant not using the stadium stractures, makeit short, Talanta haina skybox and neither will it have
 
Ndio hii hapa nje ya uwanja
Cha muhimu ulielewa alafu wewe hujui chochote kuhusu modern stadium, you will never understand what makes a modern stadium kitu kidogo kama skybox tunawaelezea mwaka mzima
 
Sasa si ni kwel, Nyie modrn stadiums hamzijui amna kitu mtaeleweshwa mtakubali, kwan how many times was i here giving free education on skyboxes? haya sasa kiko wap?
Hizo skyboxes sisi tunazo kadhaa in Arusha stadium na zikiisha ujenzi tutarudi kuwapiga kama kawa. Hizo hapo kwa nje zinavyoonekana. 👇🏾
 
In the eyes of a jealous bongolala like you I am not surprised it's a poor method
jealous aje sasa? kwan picha za zile boxes did i create them? arent they true photos? mbna sasa unanilaumu mm kosa langu lipo wap 🤣🤣 we bana accept reality move on, renders wont help you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…