Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So unahepa sasa Dodoma badala ya kutetea Dar … Mombasa just needs 3 skyscrapers and it will be the dopest city on East Coast line of Indian Ocean…..💯
Miradi inayoendelea Arusha inapiga mombasa kifo cha kawaida tu, Dodoma mbali huko.
 
Hii barabara kama ndio kichaka chako basi anza mapema kutafuta kichaka kingine, before Afcon itakua ni four lanes hii, na ujenzi wake umeshaanza.
 
Hii barabara kama ndio kichaka chako basi anza mapema kutafuta kichaka kingine, before Afcon itakua ni four lanes hii, na ujenzi wake umeshaanza.
Angalia the state ya hio town wachana na barabara hata
 
It's giving Nigerian vibes.😂😂
 
Unataka kusema nini wewe mlemavu wa akili.? 😂😂😂 you have nothing like this in kunyarenda. Kaa kimya.
 
Apo utachagua mwenyewe upande wa arusha ama uende kwenye mechi na hizi















na hizi zikikushinda kuna alternative

View: https://x.com/AfricanHub_/status/2022672276701802765?s=20

choice is yours
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…