Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu mchina Mungu anamwona,alafu kwa mbwebwe kabisa anatunyesha nani mjanja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
they wanted this, si unajua tena makenya ni mapumbavu tulishayaelewesha apa skybox ni nn lakini si unajua tena yalivo mapumbavu, tukayaacha sasa wanaanza kumlaumu mchina wa watu
 
Too many words. Action zero
 
Wacha kurukaruka , we know how you evade issues by switching goalposts… game yako tunaijua ..🀣🀣🀣 Pay attention …stick to Golf for now ….πŸ€ͺ
Sisi tumewaruhusu muungane na nairobi kwenye hii battle bado hamtaki tufanye nn
 
basi fanya ivi, unganisha mombasa na nairobi zote tuanze battle mpya sisi mbna hatuna shida

View attachment 3609866

View attachment 3609867



View attachment 3609869View attachment 3609868
Did you know Golf is a great indicator of a population with a healthy disposable income?
Tanzania yote has 13 Golf courses with Kilimanjaro Golf in Arusha as only international standard certified course
Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ has 46 Golf courses across the country including 15 international standard certified courses and 1 PGA course ( Vipingo )
Kenya has as many courses as number of counties. Note we are not counting the upcoming Golf courses in gated communities being built like Manyani in Nanyuki among others.
So now do the maths… πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Atakuambia hizo figures ni za kupikwa πŸ˜‚πŸ˜‚
They never cease to amaze
 
Jinga ni wewe unayepinga maneno ya mmiliki tena kaandika yeye mwenyewe wakati wewe upo uswazini Tandale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…