Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Sikushangai,sababu nyie malazy amuamini katika kujitegemea ndio maana hadi leo bado mnawalamba uume mabwana zenu wanaowapa misaada,hamna kitu ambacho mshawahi kufanya bila msaada au loanKibaki alileta masomo bure Kenya wajinga wakaisha.
Jaribu bahati yako Burundi forum.
View attachment 3610976
View attachment 3610978
sasa wewe unajua nn dunia hii, mpaka leo hujui tafauti ya skybox na lounge, na wazazi walitoa ela kabisa kupeleka kijana shuleAndika tu "haitajengwa mark my words" upumzishe kende zako
Tumia tu kiswahili NyamweziBtw yourr anked 10th in most extremely poor nations, there is nothing you can talk to someone who isnot poor and it will make sense
Hauna ingine tafauti na hii ya early 90's?Tumia tu kiswahili Nyamwezi View attachment 3611025
Hapo Kila siku shabiby na kadhalika zinatoka zikiwa full.Kaka hata usafiri wa mambasi Tanzania inaongoza. Sababu kuu ni kwamba:
Tanzania ni kubwa kijiografia (karibu mara mbili ya ukubwa wa Kenya). Miji mikuu ya kiuchumi ya Tanzania imetawanyika pembezoni mwa nchi (Mwanza, Arusha, Mbeya, Kigoma, Bukoba). Ili kuunganisha miji hii na Dar es Salaam, mtandao mkubwa sana wa mabasi unahitajika.
Nchini Kenya, asilimia kubwa ya miji mikuu na idadi ya watu ipo kwenye ukanda mmoja mfupi wa kijiografia kutoka Mombasa, Nairobi, hadi Kisumu/Eldoret.
Sikushangai,sababu nyie malazy amuamini katika kujitegemea ndio maana hadi leo bado mnawalamba uume mabwana zenu wanaowapa misaada,hamna kitu ambacho mshawahi kufanya bila msaada au loan
Skybox ninayojua ni hii hapa.sasa wewe unajua nn dunia hii, mpaka leo hujui tafauti ya skybox na lounge, na wazazi walitoa ela kabisa kupeleka kijana shule
Kilaza siku hizi amekuwa hadi kipofu haweziona mahali pameandikwa 2020 😂Hauna ingine tafauti na hii ya early 90's?
hauna zingine za early 90's? because thats all you haveKilaza siku hizi amekuwa hadi kipofu haweziona mahalinpameandikwa 2020 😂
Hautaki ya 2020? 🤣🤣hauna zingine za early 90's? because thats all you have