Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Land is leasehold in Kenyan urban areas Prof. Bongolala. Haijalishi unaleta Wakenya wangapi. Ata ukuje na Chief.

Alafu, najua kutoka LDC Dar vumbi ni ngumu kuelewa hili.. All of these apartments are usually 100% sold by completion. Many reach 75% sold during excavation.

Mfano hii project Syokimau ukitaka apartment hapa ngoja phase 2.


View: https://www.youtube.com/shorts/VWjg69hjlE4
 
Kwanza mtu alitoka kibera akalipia 3M upfront kuhamia sio 🀣🀣🀣 where do i press to get these more jokes
 
Iwe zinauzika au haziuziki mimi hilo sitaki kujua, lofa wewe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ suala ambalo lipo wazi ni kwamba tunawajua wanunuaji wa hizo apartments na tunajua average kundurendans mnapoishi.

Anyways nyie endeleeni kufurahi kuzipiga picha na kupost humu. Sio mbaya, kwani kuna ubaya gani.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

This is not a street in Florence, Italy. President of China .
This is Syokimau, Nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://www.youtube.com/shorts/c6ArZi_87wU
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Shinda hapo.
Ile siku mtapata spending power mtajengewa pia πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…