Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua hata hujui maana ya survey, mdio maana unaokota tu any data to prove a point. Hii ni survey ya wiki mbili. Masaibu ya kuwachia shule class 4.

View attachment 3612527
Hizo unazoleta ni mbwembwe tu. Taarifa zimeshaonesha 81% wanakuja kwaajili ya Education 🀣 🀣 🀣 🀣
Elimu ya Tanzania ni bora yani 81% ya wakenya wanakuja kusoma Tanzania.
 
Punguza ujuaji hizo ni affordable housing za Kibaki era. Kwanza kabisa right now kibera imegawanywa mara mbili na barabara inayoitwa missing link road.
Uongo, hizi ndio affordable houses ulizopost

.
Kama sio hizo then post the aerial view ya Kibera tuone ilivyochange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…