Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Affordable houses za Kibera in 2026 zipo only in this part πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.

.
.
The full aerial view is this one na affordable houses zipo kwenye circled part, mahali video ilipochukuliwa

.
.
Also after 10 years hizo affordable houses zitakuwa kama Pipeline
 
Hao metro city na YK ni wa ruti gani hawa?
 
Kwa hiyo kibera ni hizo nyumba 10 tu zilizobomolewa? Kuna slums zaidi ya 90 naislum ukiondoa kibera ambayo hata 2% of it you didn't touch
Rome wasn't built in a single day, slowly by slowly we will get there.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…