huyo hujamzoea tu, ila ndo vizuri ili sisi tuendelee kupost uhalisi, eti Nicxie mara uwanja msafi youtubers wakiingia vumbi, shida nnMdogo wangu unapenda sana kuandika ubishani wa maneno kwenye social media. Tanzania tunashindana na china kwa sasa. Je, lini mtakuwa na chuma kama hii?
View attachment 3616200
Zilete tuonembna picha za tandale latest zipo unahangaika na frames za kipindi idd amin president
Asante kwa renda 🤣🤣🤣Tallest building in East, Central and Southern Africa is coming up in Nairobi.
View: https://youtu.be/lOWMJvpxo0s?si=lewTmVQih2X_o2Jm