Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now i understand, i can relate also in the quality of education given there


View: https://x.com/Globalstats11/status/2070071032409694320?s=20
 
Out of jealously, utasikia comments kama hizii: "Sasa mbona mjenge barabara kubwa na interchange mahali hakuna magari nyingi? Hizi ni misplaced priorities. Sisi bongo tunajenga kulingana na mahitaji. Hatujengi ili kufurahisha watu..." 🤣🤣🤣🤣🤣
Tunajenga overpass kutokana na mahitaji sio nyinyi munachukia ma loan ya ovyo munaenda jenga overpass eldoret mukitegemea itafaa miaka 30 inayo wakat hzo infastructure zinaisha na kuchoka 😆😆


Sisi tunajenga kutokana na mahitaji sio nyinyi munainhia kwenyw mikopo kueka overpass kwenyw sehemu hakuna uhitaji, mbaya zaidi overpass zenyewe sasa za kupanga tofali juu🤣🤣🤣🤣 nani aliwaroga nyinyi


Yani vitu nimejionea kwenye hii thread! Wacha tu!
 
And who said it's not MGR? Or just because it's MGR it should look like it's from some glorified fishing village? 🤣 🤣
Material yake ni ya miaka ya 1989 hayapatikani tena. Hebu tuonehse MGR ya kenya iliyojengwa na Malkia Elizabeth watu wanataka kucheka humu JF
 
Material yake ni ya miaka ya 1989 hayapatikani tena. Hebu tuonehse MGR ya kenya iliyojengwa na Malkia Elizabeth watu wanataka kucheka humu JF
You are not even ashamed that you have to run to this year narrative to object everything bad in your glorified fishing village. If I asked you to prove that hiyo picha ya 1989 will you do it? You are so delusional and it sucks!

About Nairobi MGR trains and seats, here they are


Compare with your commuter seats
 
mbna unaongea kwa uchungu sana

View: https://x.com/AfricanHub_/status/2022672276701802765?s=20
 
Sasa si ni kwel mnatumiaga picha za zaman 🤣 🤣 , mkishaonaga mmeshindwa mada mnaanza kutumia picha za zaman in most cases no one bothers even to answer you, but sio kesi aya twende apa

View: https://www.youtube.com/watch?v=_laqaryYyJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…