bado Uganda, ile kenya pipeline wanamtesa nayo sanaHiyo Olympic Petrol Station inasemekana ni ya Serikali ya Rwanda. Ukiunganisha na hii message wakenya wanazidi kulia
View: https://www.instagram.com/p/DaKWrsQCNIb/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
jamaa alivoreply mpaka nmechekaHiyo Olympic Petrol Station inasemekana ni ya Serikali ya Rwanda. Ukiunganisha na hii message wakenya wanazidi kulia
View: https://www.instagram.com/p/DaKWrsQCNIb/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Wenyewe wanaenda kwa makelele, Tanzania inaenda kimya kimya. Ruto aendelee kuzunguka dunia nzima. Wiki hii yupo Madagascar. Akitoka kule sijui ataenda wapi.jamaa alivoreply mpaka nmecheka
View attachment 3618407
na alizunguka mpaka bongoWenyewe wanaenda kwa makelele, Tanzania inaenda kimya kimya. Ruto aendelee kuzunguka dunia nzima. Wiki hii yupo Madagascar. Akitoka kule sijui ataenda wapi.
Mpaka ufike uchaguzi wa mwaka kesho, hakuna nchi Ruto hatakanyaga.na alizunguka mpaka bongo
Stop the sideshows bongolala. Juzi tumeambiwa ni za 1989 ππSasa wewe tuletee hapa meaning ya "Confy" tucheke kidogo
Siku hizi mnakuja kwa kuibia ibia, mnaogopa aibu
Umekosa comeback ukaona ujifariji na typo ππ. Bongolala, aren't these the seats you sit on insider your commuter trains in Dar slum?Jaluo na English yake π€£π€£π€£π€£π€£unasahau wenzio tumeyaishi maisha ya wakoloni na hatupigi kelele hapa.
AI Overview
comfy
/ΛkΚmfi/
Comfy is an informal adjective meaning providing or experiencing physical comfort, ease, and relaxation. It is a cute, shortened, and casual version of the word comfortable, frequently used to describe clothing, furniture, or a cozy environment. [1, 2, 3, 4]
wameadimika kama sio wao vile π€£Siku hizi mnakuja kwa kuibia ibia, mnaogopa aibu
Leo yupo India ππna alizunguka mpaka bongo
ngoja tuone atakuja na kachori ngapLeo yupo Indian, ππ
sema jamaa anaweza akashinda, kuna namna anasajili wapiga kura nje ya nchiMpaka ufike uchaguzi wa mwaka kesho, hakuna nchi Ruto hatakanyaga.