President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hapo sasa tumeanza kuona uchi wa Nairobi. Endeleeni kuleta picha kama hizi za juu, JF itawapatia Awards
Road to sir.mia stadium π€£π€£π€£π€£
After sauti Afirika anafuata mbagala πππ€£π€£this is parklands,
View attachment 3618417
View attachment 3618418
View attachment 3618419
View attachment 3618422
View attachment 3618424
you can see how parklands has high quality roads
View attachment 3618426
with a world class bus terminal
View attachment 3618428
meanwhile this is mbagala
View attachment 3618430
View attachment 3618431
View attachment 3618438
View attachment 3618443
View attachment 3618445
after south africa inafuata mbagala kwa usafiri afrika
Tupo kwenye ujenzi. Baada ya ujenzi uje
Picha za 2016. Asante kwa TBTAfter sauti Afirika anafuata mbagala πππ€£π€£View attachment 3618475View attachment 3618476View attachment 3618477View attachment 3618478View attachment 3618479View attachment 3618481View attachment 3618482View attachment 3618483View attachment 3618484View attachment 3618485View attachment 3618486
Ujenzi unaofanyika kwenye ndoto zako sivyo? π€£π€£Tupo kwenye ujenzi. Baada ya ujenzi uje
Ni za 1956 actuallyPicha za 2016. Asante kwa TBT
Siyo kweli, Tanzania siyo Kenya inayotoa ahadi za uongoUjenzi unaofanyika kwenye ndoto zako sivyo? π€£π€£
Uko heri kuleta picha za nyasi za Talanta mara mia kwa siku hapa lakini kuleta picha hata moja ya "ujenzi" wa barabara kuelekea maku stadium is where you draw the line π π πSiyo kweli, Tanzania siyo Kenya inayotoa ahadi za uongo
Ni mtu mjinga pekee mwenye mawazo kama yako. Hizi picha zimepigwa jana ujenzi unaendeleaUko heri kuleta picha za nyasi za Tandale mara mia kwa siku hapa lakini kuleta picha hata moja ya "ujenzi" wa barabara kuelekea maku stadium is where you draw the line π π π
Very delusional people!
Hata saa mbovu mara moja kwa siku inakuwa sawa. Kuna vitu wakenya wamepqtia na inabidi tujifunze. Honestly kuanzia 2021 wamepiga hatua na sisi hatujui hata tunataka nini. Watu wako busy kuiba tu.To be honest hapa nawapa kongole mungiki,hii cloverleaf interchange ni kibabe sana
wa unajua kuiba ni nn au unaiskia tu? na hatua gan wamepiga tunakuskilizaHata saa mbovu mara moja kwa siku inakuwa sawa. Kuna vitu wakenya wamepqtia na inabidi tujifunze. Honestly kuanzia 2021 wamepiga hatua na sisi hatujui hata tunataka nini. Watu wako busy kuiba tu.