Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

U
Ume prove tu nilichosema jana. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† majority ya hizo buildings zenye mnajisifu ni kati ya 2 floors -15 floors kama picha zako zinavyojieleza.. same thing we are doing in Tz.

Mlidai kwamba hatujengi magorofa sasahivi kabisa .. nimewaonyesha projects zinazojengwa. Sahii mmebadili mada πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ stupid people.
 
Ngoja nikusaidie list ya sehemu unayoishi ww,maana umejaza list ya maghorofa tu,maku bisha sasa kama hiyo list yangu sio naipori
 
Ngoja nikusaidie list ya sehemu unayoishi ww,maana umejaza list ya maghorofa tu,maku bisha sasa kama hiyo list yangu sio naiporiView attachment 3622251
By the time utakuwa umefinya hio X-Tigi yako mpaka button zikaisha, we will have solved all these slums.
How are you going to solve 98% of Dar vumbi? Yote inafanana na Kawangware.

Gikomba market being built in record time. This is 3 months of work.
Next to it is the famous Kamkunji Grounds.
Next to it is Nairobi River Regeneration.

After the affordable houses scattered all over the city are done, next will be clean up of the shanties.

 
without a doubt mtakua mmesolve na apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…