So Arusha Stadium ni bank?😂😂🤣Angalia viwanja vya marekani utaelewa kwamba Arusha ni the best than this, hv viwanja vimeshapitwa na wakati bro, siku hz viwanja vinatengenezwa unaweza kusema ni bank.
Kuna mbuzi atakuja kukuuliza mbona sio ghorofa 30? Yaani mijitu imetoka bush inaendeshwa na maghorofa marefu wanaona ndio maendeleo.This is Njedengwa DODOMA.. miradi hii inakuja Njedengwa na Medeli..
NjedengwaView attachment 3624166Medeli II View attachment 3624167..
na huo uwanja una nyasi za bei ya punguzo 😂Dodoma,Arusha,Fumba. Nchi masikini inajenga viwanja vitatu wakati Kuna nchi tajiri inajenga uwanja mmoja tu ila wananchi wake wanashangilia kama mazuzu.
kwan hujazoea gorofa zao zikoje?Kuna mbuzi atakuja kukuuliza mbona sio ghorofa 30? Yaani mijitu imetoka bush inaendeshwa na maghorofa marefu wanaona ndio maendeleo.
Hujaona picha wamerudia kupanda tena juzi! 😂😂😂huu uwanja majani yake yakua green before even that cowshed ya ngong
mbna tulishapost kabisa apa wamerudia kupanda, wakaanza kumwagilia na vikombe 😂Hujaona picha wamerudia kupanda tena juzi! 😂😂😂
It pays to have a bigger economy… one day maybe Bongo will get there …🤪🤪
😂😂😂mbna tulishapost kabisa apa wamerudia kupanda, wakaanza kumwagilia na vikombe 😂
You must have a short memory about your under 17 team .You posted everything except them in the bathroom…😆😆South africa mens league is the strongest, dont confuse it with womens league, infact mens team went to the round of 32 at the world cup, but cheap kenyans always feel entitled as if they have played with the main team
Tanzania under 17 has qualified for world cup but you will never find us talking such crap like kenyans
Uzuri sisi tulikua tunapost uhalisia 😂 ila wanaetu wakaona render ndo mpango mzima, ona sasa
did i post them in the finals? 😂 if i remember wellYou must have a short memory about your under 17 team .You posted everything except them in the bathroom…😆😆
But its dangote property why are you counting it as kenya propertyIt pays to have a bigger economy… one day maybe Bongo will get there …🤪🤪
Wewe huwa nakuambiaga kila siku hujuangi content za links unaletanga humu inasemaje. Ona hii sasa
Did you read the caption ama unaropoka kama umemiss periods?Wewe huwa nakuambiaga kila siku hujuangi content za links unaletanga humu inasemaje. Ona hii sasa
Tukio limefanyika Sri Lanka, thousands of kilometers from Kenya, lakini kwa vile wewe ni mjinga asiye na kipimo coz umeona poster ya Kenya prisons, you didn't even take a minute to click the link and read the whole story. You are so delusional kijana wa Tandale. Kenya lives rent-free in your head and it's really annoying. Get some life and some job as well. This idleness ya kushinda JF usiku na mchana trolling itakufiksha pabaya!