Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we need investors ...ukiangalia long term goal ni sisi tutafaidika...ndio maana ata nyinyi mulitaka dangote ajenge uko...
 
we need investors ...ukiangalia long term goal ni sisi tutafaidika...ndio maana ata nyinyi mulitaka dangote ajenge uko...
Then later you complain why money is moving outside the country 🀣 🀣 the main investor anatakiwa kua serikali but for kenya the damage has already been done, apo kila mtu anakuja anajichukulia anaondoka 🀣🀣
 
we need investors ...ukiangalia long term goal ni sisi tutafaidika...ndio maana ata nyinyi mulitaka dangote ajenge uko...
Kwamba kenya inafaidiaka long term 🀣 🀣 , dogo hio ni money machine inatengenezwa apo, hizo hela haziwekwi apo bure, lazima ela yake irudi + forever money stream ya profits and LAZIMA u bank him his cash, kwa kifupi you will have to send the profits kwake, ingekua investor ni serikali all the profits would mean to create another project but since its personal project this is a money machine for him to invest other areas, Money moves from kenya to Tanzania forever non ending apo hujajumlisha profits za dangote za kutuma nigeria 🀣🀣
 
My thinking is that

Auditorium ya conference -5000 seats probably fixed round like building
Exhibition centre (square like building right side ) various use -10,000 seats
Hotel towers kwa nyuma 500 rooms phase 2


Good job psssf
 
Then later you complain why money is moving outside the country 🀣 🀣 the main investor anatakiwa kua serikali but for kenya the damage has already been done, apo kila mtu anakuja anajichukulia anaondoka 🀣🀣
Mbona basi mnalilia Dangote ? Si serikali ijenge hio plant ya hio level basiπŸ˜…πŸ˜…
 
Arusha na Kilimanjaro should be linked na SGR kutoka Makutupora pia Iringa na Mbeya via Dodoma . Hii SGR itasaidia sana kukuza uchumi na kurahisisha usafirishaji
yes sana, infact kwa mambo yanavoenda saahv hii route ya dar, dodoma , moro i think ni heri iwe njia ya usafiri kabisa, Yaani uhitaji ni mkubwa kuliko kama vile vile BRT ilivoanzaga tukawa tunajazana ndan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…