Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sema hii reli ndefu kinoma, yaani bora imekua ya spidi maaana kutoka dar kufika dodoma ingekua yale yale ya sku nzima
 
apa sasa ndo wamefanya la maana huo upande wote wa juu pia wa kunyonyoa, tuwe patient jaman uwanja umewekewa bandage

 
Unajua dodoma ni tamu sana pia kutokea huku medelin this is NHC medeli phase III πŸ‘‡πŸΎrenda πŸ‘‡πŸΎhili ndio eneo linaloshikana na NCC link lakini lemyewe it’s for hotels, apartmemts n shopping complexes. NNC link itself πŸ‘‡πŸΎ.. ndio kwanzaa tumeanza.
 
Unajua kitakachokukuta ukiingia kwenye huo mtego, bora ukimbie hivyo hivyo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ntawalaza na viatu wapuuzi nyie.
Unajua kitakachokukuta ukiingia kwenye huo mtego, bora ukimbie hivyo hivyo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ntawalaza na viatu wapuuzi nyie.

🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…