Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu pembeni nimemuonyesha hii comment ameniuliza kwamba β€œhuyo jamaa ni zuzu.? β€œ. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mercedes Benz stadium si ndio hii.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎ
 
Huo ni upotoshaji. DMDP 1 walijenga barabara nyingi sehemu zifuatqzo
1.Temeke hakuna sehemu iliowekwa lami DMDP 1 ndani ya Temeke ambayo ni makazi holela.
2.Mbagala Kuu vile vile zimewekwa lami kwenye mitaa rasmi.
3.Mwananyamala na Kijitonyama hakuna mtaa usio rassmi uliowekwa lami yote ni mitaa mikubwa.
4. Kinondoni bwawani hadi Victoria mitaa iliowekwa lami yote ni planned tena huku wameweka zege.
Tandale njia kuu iliowekwa lami ni ile inatoka Sinza hadi Magomeni,ingine inatoka Kijitonyama hadi Mabibo hizo zote ni njia rasmi.
Kutoka hizo njia rasmi hasa maeneo ya Tandale wamestretch few meters kuingia Uswazi hazifiki huko katikati.
5.Magomeni yote.Kqgera,Mburahati lami zimewekwa mitaa iliopimwa hakuna makazi holela lami imedikq
Alichofanya Magufuli hakulipa fidia na hakubomoa baadhi ya nyumba ambazo ziko karibu sana na barabara hivyo kuna maeneo lami inapita nje ya baadhi ya nyumba.
DMDP 2 inaendelea maeneo mengi mfano Kigamboni imenufaika sana kuliko wakati wowote. Ila tu speed ya DMDP 2 ndio kidogo mwendo wa kinyonga.
 
Kuna mtu pembeni nimemuonyesha hii comment ameniuliza kwamba β€œhuyo jamaa ni zuzu.? β€œ. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mercedes Benz stadium si ndio hii.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎView attachment 3630135
Hivi kwanini hawa ndugu zetu wanaumia sana mtu akisema Meredes stadium inafanana na Arusha stadium?
 
Tanzanians upper middle class building their own homes with state of the art ultra modern high pitched roof designs... ordinary kenyans mostly from the diaspora building their own homes...the planning alone tells alot from this two countries...I'll let you be the judge...
*This is not Nairobi but part of rural kitengela...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…