msiwe na haraka kila president atakuja tz
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/2078156774461366699?s=20
30km away from CBD huku ni Residentials, kungekuwa mapori usingekuta hii jam ambayo kundustan ipo thika tu of course your only highway!Dar kuna hadi mashamba za mihogo usishangae π€£π€£π€£
Huu ukubwa tunahubiriwa huku ni geographical area, sehemu nyingi ni village vibes tu
Hivi kile kichupa cha kijanja cha a town ni floor ngapi?Mradi mwingine huu a 21 floors building at Upanga, Safari living ππΎView attachment 3631177View attachment 3631178
Jengo fulani unique kama mkuyu apartments pale Nkurumah street ππΎView attachment 3631181View attachment 3631180
Kile nili floors 18 mkuu. Au unazungumzia hiki kinachojengwa sahii cha MKICC.?Hivi kile kichupa cha kijanja cha a town ni floor ngapi?
Sema hawa jamaa wanajua sana kujenga, haswa mambo ya madarajaWampeleke Dodoma Stadium ποΈ.
Atakumbuka na kutenda jambo.
Naona nilikasirisha watu π π
Are you ignoring the fact that hio ni matope! Yani barabara hadi inabebwa na mto na mnashinda mkitukosoa ni kama nyie mko perfect π πImagine hizo ndo slums kwa level za dar linganisha na zenu sasa
Imagine driving from Marua to Nairobi to Mau Summit. That is 370km of non-stop dual carriageway. Vumbistan can't relate. π€£