Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuletee za 2026
arent you the one who was making noise apa na zile data za 2020? itsnot that you cant have latest but si umeamua tu kutumia za zaman mwanaetu sasa sisi tukufanye vp na umeamua to create self happiness
 
Kama hutaki hiyo data ya 2020 na pia huna ya 2026 si basi utulize tu kende bongolala
 
What can you get from destitute  Kenyans who can't afford a common mirror?

View: https://x.com/Kenyans/status/2079161193407615121?s=20
 
It's their choice wameamua kuishi hivyo. Sio umasikini ila ni their different lifestyle.

Hii ni tofauti na hawa watu milioni 3 wanaoface njaa Kenya. Hawa wanapitia changamoto, sio by choice, bali ni umasikini na ukosefu wa chakula.
View:
View: https://www.youtube.com/watch?v=oP3qAYZr3jM&t=11s&pp=ygUPaHVuZ2VyIGluIGtlbnlh
Wahadzabe wao ni lifestyle yao, nyinyi huko kwenu ni umasikini. Njaa sio lifestyle. Again we are not the same even though you wish we were
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…