Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miaka yote hii hatujafika Mwanza na Kigoma ndio ameweka jiwe leo. Wapi kapeleka mikopo yote hile?
Katuchelewesha sana.
Kama umefuatilia kuna maelezo wametoa kuwa ujenzi ulikuwa unaendelea hasa kwenye sehemu ngumu kama madaraji mfano wa malagarasi ambayo yanahitaji walau misimu mitatu ya mvua ili yakamilike.
Kwa sasa naona wameanza tandaza tuta ambalo si kazi sana na ndo maana wamesema mpaka 2028 watakuwa wamekamilisha.
Hivyo tegemea sehemu kama saranda watakuwa washaanza kutoboa mlima
 
Calling this a lifestyle and a choice is insane, so these guys chose to have jigger infested feet?
 
whats wrong with that? they decided to live their ownn bush life, they choose what to eat its different than hawa ambao hawana kabisa, kiasi kwamba wakiona maji wanapigana

View: https://www.youtube.com/watch?v=TEjiTIj0DyY&pp=ygUMa2VueWEgaHVuZ2Vy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…