Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

imagina mpaka mkaanza double stack ila wap πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ cha ajab wameongeza mpaka ela ya kuingia
 
Tutaelectrify yetu na mpango.
1. Haitakuwa slow speed electric train.
2. Itakuwa na enough overhead clearance for double stacking.

View attachment 3634991

Bado sana huo uwezo hamna , mngekuwa mna electrify basi msingerudi kwenye design ya mwanzo kabisa kwenye ujenzi wa kutoka naivasha to malaba.
Mta electrify bila kuwa jointed welded railway line , bado mtadaowa signaling system mpya , mahitaji kudesign horizontal curves atleast zifikie kwenye 1900mm kutoka kwenye 1200m mlizonazo .
Yaan cost ya hivyo vyote ili mfike atleast speed ya tz si less than 5bil usd kutoka Mombasa to naivasha na hiyo hela hamna
 
Training grounds are not supposed to have spectator seats bongolala. Take a look at the following training grounds of various football clubs in England

Arsenal

Chelsea

Liverpool
young lady, you know nothing about CAT 4 kwahio tulia
 
NCC link imeanza juzi tu. Sahii inapiga chini vimji vyao vyote kando ya Nairobi. Dodoma ni ya moto kinoma mno πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 

Attachments

  • IMG_8064.jpeg
    153.9 KB · Views: 30
Hiyo y Angola budget yake mboa ya kusuasu? $1.5 bln vs $700 mln? Muache kubeba empty containers na kama electrical SGR si kitu mbona mna mpango wa ku-electrify yenu?
Kwanza anajua hata target market ya hiyo Angola ?
Export nyingi zinaenda Asia na hata imports nyingi kutoka afrika zinaenda Asia.
Hivi anajua mpaka sasa pamoja na kuwa Zambia imepakana na Angola ila hakuna hata barabara ya kuwaunganisha sembuse hiyo reli, Zambia bado atasafirisha sana mizigo kwenda Asia kupitia Tanzania.
 
You think Kenya's SGR will be the first railway to be electrified after already being built.
injinia from Tandale sit this one out. πŸ˜‚
 
wao wanajuaga ile cable inarun one way from one town to another, kumbe kila hatua kadhaa kuna sehem mpya inafeed umeme πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
You think Kenya's SGR will be the first railway to be electrified after already being built.
injinia from Tandale sit this one out. πŸ˜‚
are you aware your president alikuja uku kulia anataka lile bati liunganishwe na reli yetu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
NCC link imeanza juzi tu. Sahii inapiga chini vimji vyao vyote kando ya Nairobi. Dodoma ni ya moto kinoma mno πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯View attachment 3635020View attachment 3635023View attachment 3635027View attachment 3635019

Are you building a CBD or a suburb?
Bongolala government urban planners are a funny lot.
Even after building everywhere, this will just be a loose collection of buildings, and not a CBD.

Makosa ya kwanza ilikuwa kuweka hizo front parking lots, and recessing the buildings backwards.
Makosa ya pili. WALLS.

Buildings need to be on street level. Like Nairobi CBD, or what we're building in Tatu and Konza.
Parking should be underground.

Konza

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…