Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Njoo na takwimu yako wewe kumakama kweli unaijua Dar kuliko mimi, ni mara ngapi napost humu unakimbia kama hivi.?Ebu tuonyeshe hizo 15 buildings under construction that will go above 20 floors basi.
Just show us the construction progress and any evidence that they will go above 20 floors
Kuonyesha building ya above 20 floors that is under construction in Tanzania imekushinda?Sasa kView attachment 3639005View attachment 3639006
Sasa kama mnajenga na bado mnatumia vitu cheap kama madirisha haya si Bora tusijenge kabisa🤣🤣🤣🤣
Dizaini ya haya madirisha mwisho kuyaona ilikuwa 2002 Tena mashuleni
So Kenyans in JF want to convince us that these houses are ugly just because of high rise roofs? Halafu zao ambazo hadi ukuta wanajenga kwa mabati ndio nzuri? Na madirisha yao kama primary schools
Kweli ujinga ni kipaji 😂😂
View attachment 3639010
View attachment 3639007View attachment 3639008View attachment 3639009
View attachment 3639011
Wote hao wanuka mavi ni wivu ndio unaowasumbua. Wanaumia mno wakiona kumbe wabongo wa kawaida wanamiliki mijengo yao tena ni mijengo ya kwenda.So Kenyans in JF want to convince us that these houses are ugly just because of high rise roofs? Halafu zao ambazo hadi ukuta wanajenga kwa mabati ndio nzuri? Na madirisha yao kama primary schools
Kweli ujinga ni kipaji 😂😂
View attachment 3639010
View attachment 3639007View attachment 3639008View attachment 3639009
View attachment 3639011
Nyumba zinazojengwa na average Tanzanians ni way better than nyumba za average Kenyans. Ni wivu ndio unawasumbuaSasa kView attachment 3639005View attachment 3639006
Sasa kama mnajenga na bado mnatumia vitu cheap kama madirisha haya si Bora tusijenge kabisa🤣🤣🤣🤣
Dizaini ya haya madirisha mwisho kuyaona ilikuwa 2002 Tena mashuleni
Kumbe hata huna evidence? Ni kelele Tu?🤣🤣🤣.Njoo na takwimu yako wewe kumakama kweli unaijua Dar kuliko mimi, ni mara ngapi napost humu unakimbia kama hivi.?
Ka.to.mbwe. komaa na unachotaka wewe ila sisi ground walee twaruka.Kumbe hata huna evidence? Ni kelele Tu?🤣🤣🤣.
I'm waiting for you to post for us more than 3 buildings currently under construction that will go above 20 floors 😂
So in short haiko? Poleni🤣🤣😂Ka.to.mbwe. komaa na unachotaka wewe ila sisi ground walee twaruka.
Ujenzi wa nyumba Tanzania is an Art.So Kenyans in JF want to convince us that these houses are ugly just because of high rise roofs? Halafu zao ambazo hadi ukuta wanajenga kwa mabati ndio nzuri? Na madirisha yao kama primary schools
Kweli ujinga ni kipaji 😂😂
View attachment 3639010
View attachment 3639007View attachment 3639009
View attachment 3639011
Hawawezi kuelewa. Wamezoea kuishi ghettoView attachment 3639012
We mwambie tu gharama ya kununua funua nijambe za affordable housing hiyo hela mtu anajenga vitu kama hivyo tena wengine hata kazi hawana bali wauza chips tu
Wao acha wajengewe affordable houses wawe wanajazana humo kama panyaWote hao wanuka mavi ni wivu ndio unaowasumbua. Wanaumia mno wakiona kumbe wabongo wa kawaida wanamiliki mijengo yao tena ni mijengo ya kwenda.
Hata wewe unajua kuwa nyumba nyingi Tanzania hazipo hivyo. Hii picha umepost to make yourself happy. Sad Kenyan 😂😂
Watanzania wa kawaida wanazidi kujenga nyumba kwa kasi, tena wanajenga wao wenyewe. Hakuna anayesubiria project za affordable housesUjenzi wa nyumba Tanzania is an Art.
Siku hizi naona wakunya wameanza kuiga wanatumia mafundi kutoka Tanzania.Ujenzi wa nyumba Tanzania is an Art.
Wewe ni mtanzania wa kawaida ama? Now show us yours or father's house.Watanzania wa kawaida wanazidi kujenga nyumba kwa kasi, tena wanajenga wao wenyewe. Hakuna anayesubiria project za affordable houses
View attachment 3639037View attachment 3639036View attachment 3639035View attachment 3639034View attachment 3639033View attachment 3639032View attachment 3639030View attachment 3639028View attachment 3639025View attachment 3639024View attachment 3639021