Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Those are people looking for jobs. How is that related with education quality. Kipelepele wacha kimbelembele.
Looking for jobs?
Umeamka, unaenda kukaa road the whole day in the name of "looking for job"?

You don't look for a job by sitting in one place the whole day doing nothing. It's not even good for their physical and mental health.
But given the poor standard of your education, it's unrealistic to imagine you can ever reach this peak of reasoning.🚮
 
Arusha ikimaliza jenzi zake za miundombinu next year nadhani kimiundombinu itajismika kuwa jiji namba 2 behind Dar. Mpaka pale Dom naMwanza zitakapomaliza kujenga miundombinu yao.
 
Kwa style hii lazima iwe ngumu kuamini kuwa tz kuna muuza chips tu wakitaaa anaingiza 62,000 ksh kwa mwezi.
Hizi kazi mtu Bora aokote makopo akauze anapata zaid
BTW chips za kenya ni mbaya kichz, hakuna wapishi, i remember at one time nliekua nae ikabidi aniagizie something else mpaka nmesahau majina yake
 
What does sharing photos of former presidents add to your argument Kipelepele? How old are you? And you seriously think you have a better standard of living than those two billionaires?
Their faces epitomize a poor nutritional base. Sasa hata ukipata trillion ukubwani huwezi badilika.

Just look Ruto ama Gachagua🚮 Uhuru kazaliwa kwenye pesa yuko tofauti na wengine.
 
Duuh eti welder anatafuta kazi jamani, huyu si mtaji wake ni grander na welding machine, inaanza design machine kadha wa kadha pamoja na tools mbalimbali.
Duuh kuna colonial mentality kwa wenzetu mpaka huruma
 
Bro.............believe your own reality sawa? Thank you.
 
Duuh eti welder anatafuta kazi jamani, huyu si mtaji wake ni grander na welding machine, inaanza design machine kadha wa kadha pamoja na tools mbalimbali.
Duuh kuna colonial mentality kwa wenzetu mpaka huruma
Nawaambiaga watu kwenye upambanaji halali hakuna nchi inawafikia Watanzania ukanda huu.
Mtu tayari una ujuzi kama welder halafu bado unaomba serikali ikupe kazi!
 
This might be the worst news for mwaiofhawaii today 😂 , only 2 nations have extra USD benki kuu, apo ata SGR haijaanza kazi
View attachment 3639317

View attachment 3639319
View attachment 3639321

Kwa style hii ya importation ya mabasi na trucks nilitegemea Tanzania ndo ingekuwa na deficit kubwa sana, lakini gap kinaendelea kupungua , mwakani effects za ongezeko la Kodi litakapokuwa lineshika hatamu tutegemee importation ya magari ya umeme kuongezeka na uagizaji wa mafuta kupungua hivyo surplus itazidi kuongezeka .
Mwaka huu ufuta haujafanya vizuri sana ila tutegemee bado kutakuwa na surplus
 
Nawaambiaga watu kwenye upambanaji halali hakuna nchi inawafikia Watanzania ukanda huu.
Mtu tayari una ujuzi kama welder halafu bado unaomba serikali ikupe kazi!

Sasa welder tz anaombaje kazi wakati mashine za tofari, kusaga, kutengeneza vyakula vya kuku, majembe ya matrekta , matraiker bado yanahitajika kwa wingi.
Shida ya wakenya wanaamini katika branding na ndo makampuni ya kutengeneza UNGA ni Yale makubwa sana na hayana msaada kwa majority , wakati tz UNGA unatengenezwa na locals mtu akiwa na 10mil anaweza kuanza ndogondogo mpaka anafikia hatua ya kuwa na mtaji mkubwa
Leo tz kuna welder anaweza kujutengenezea plant kubwa ya UNGA kwa kutumia local fundi na ikatoa UNGA mzuri kuliko ziler roller Mills za wachina ambazo spidi yake ni ndogo as compared to hammer mill za kibongo
 

So 1kg ya viazi inatoa chips sahani mbili lakini sasa gunia ya 100 kg inatoa Sahani 150? What kind of maths is this?😂😂🤣
 
So 1kg ya viazi inatoa chips sahani mbili lakini sasa gunia ya 200 kg inatoa Sahani 150? What kind of maths is this?😂😂🤣
Uwe unaelewa nimekuambia kg moja Inaweza toa 2 plates ila kwenye hesabu yetu nimekuwekea kiwango Cha chini Cha 150 plates sababu kuna Kila mtu anakipimo chake ila hawez pima akakosa 150 plates . Mimi nimekuwekea minimum plates per sack sasa wewe Fanya hesabu zako.
Kwenye biashara hutakiwi kuweka the maximum bali chukua minimum Ile highest cost ya everything ili inapotpkea kuna variance isicheze mbali na uhalisia.
Na ndo maana hata plate price umewekewa 2000 tsh/ plate ila kuna ayeuza mpaka 3000 na kuna anayepima vipimo vidogo mpaka vya 500 tsh ila lazima itakuja kubalance zaid ya hiyo 2000tsh
Na hakuna sehem imetajwa gunia ya kg 200 bali kg 100 Tanzania hatupangi mazao kwa above 100 kg
Ebu nitafutie gunia moja la 200kg hapo🤣🤣🤣
 
Umetafuta picha za Kenya's worst houses ukapata hii.
Nimetafuta picha za Tanzania best houses nikapata hii. 😂😂

Be proud of your architecture Mr. Tandale welder.

 
Unlike you mr. welder, wengine wetu tumejenga.
Hizo cone houses mnajenga hazipiti Ksh1.5m za kenya.

Hio bei hapa tunaita hizo nyumba 'simba'. Nyumba ambayo kijana anaingia akitahiri, ambayo inajengwa kando ya main house.
LDC kaeni ligi yenu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…