Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanga Region ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Huku ndio kuna Usambara three horned chameleons ambao species yao inapatikana Tanzania tu dunia nzima ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Residential?? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kwamba watu watakuwa wanaishi ndani ya Arusha stadium? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
How many residents can it accommodate? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kimbilia hiyo typing error ili upate nafuu maana I can feel your pain. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Section ulikuwa unadhani kutakuwa na VIP seats ndio hiyo washaweka bakuli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View attachment 3640967
Mjomba unalazimisha mambo ili walau upate furaha lakini hupati kwasababu unajua unajidanganya. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Majukwaa yote yatafungwa VIP seats zenye ni foldable. Tufauti yao ni kwamba eneo la chini kabisa la hili jukwaa ndio lifungwa foldable seats na linaonekana hapo vizuri likiwa wazi.. na katikati ambapo patawekwa presidential appearance ๐Ÿ‘‡๐Ÿพna jukwaa hili ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ linaonekana wazi kabisa eneo ambalo seats hazijafungwa kabisa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพhalafu issue ni kwamba skyboxes zipo kila upande. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Kama utaamua kulia ulie au unye boga.
 
Mtwara Town, Southern Tanzania
Beautiful white sandy beaches, greenery everywhere, good weather, fresh air, so calm and peaceful ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Your browser is not able to display this video.
 
Mafia Island
Coast Region, Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
One of the two islands in the world which are surrounded by Ocean but still there are wild hippos
Pia hapa unaswim na Whale Sharks (Papa Potwe in Swahili)
Tanzania is the most blessed country in East Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ