President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Nimepitia video. Hakika hatuwezi kuwatetea wakenya. Watanzania wameanza kuingia huko Nairobi kufanya Vlog. Wanatakiwa watulie kabisa ili tuwanyoe vizuri
View: https://youtu.be/J6cA4yEjo_M?is=nq-RPt4kdqxCMwxV naikundu CBD tunayotambiwa hapa ndio hii π
Wanafiki na wabinafsi , walishangilia sana ishu ya Dangote na refinery juzi hapa wakaona kama wamemaliza,nashangaa wanamchukia wakati ata reli yao wanapambana ifike kwake
hio inaitwa simba day, its meant to showcase all the signing every 15 mins you make a sub and during half time you change the whole squad mpaka wote wacheze, the same way in CECAFA
nmemwambia Teargass to focus on the wedding for nowWanafiki na wabinafsi , walishangilia sana ishu ya Dangote na refinery juzi hapa wakaona kama wamemaliza,
Ghafla the Legendary granpa amesaini MoU Tanga wanalalamika eti ana sabotage π, Unashangaa boashara ya Uganda na Tanzania kunya inawahusu nini
walishawahi kuchoma embassy yao pale nairobiM7 hajasahau mwaka 2013 wakenya waling'oa reli ili waganda wasipate service toka bandari ya mombassa
back days i thought AVA was made by a kenyan and i got confused why kaizerege has to go to china, na kelele zote nkajua basi ni ya wakenya π π πThese are cheap buses from China. One bus goes for 9M, Kenyan built buses ranges from 25M, MarcoPolo from AVA is 35M.
Na bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.hio inaitwa simba day, its meant to showcase all the signing every 15 mins you make a sub and during half time you change the whole squad mpaka wote wacheze, the same way in CECAFA
achana na mpiraNa bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.
Kwenye Logistics unatakiwa upige kimya na upite wimaAre those long distance buses? You are so desperate ππ
btw mmeandaa mashuka lakini pale state house, si unajua tuna jambo letu paleNa bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.
Kumbe hizi likes zote zinakuwanga za kukatia wanaume?πππMwenye kuchagua wanaume warefu na wafupi Sasa huyo ndio mbobevu mwandamizi.
si hizi apa long distance buses ama unadhan hatuzijuiAre those long distance buses? You are so desperate ππ
Even Bayern Munchen do lose these friendlies to lower ranked clubs,Na bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.
Majirani wao wote hawataki kufanya biashara na wakenya. Alikuwa amebaki Uganda pekee.walishawahi kuchoma embassy yao pale nairobi
Hilo tumeshalijadili. Ni bonanzaTeargass kuna Vumbistan yeyote amepost hizi results ama footballing nation merchants wamelala?ππ
View attachment 3646967
Hawa wana shida maana hawaelewani na kila JiraniMajirani wao wote hawataki kufanya biashara na wakenya. Alikuwa amebaki Uganda pekee.
1. Uganda wapo na Mgogoro wa Migingo
2. South Sudan + Ethiopia Ilemi Triangle
3. Somalia ndio usiseme.
Kila jirani hataki kufanya biashara na Kenya. Wamekimbilia Nigeria
apana zinakuaga za apaKumbe hizi likes zote zinakuwanga za kukatia wanaume?πππ
Top player wa Kenya Police FC analipwa $900 USD, Huku top player wa Simba SC analipwa $20,000 per Month.Even Bayern Munchen do lose these friendlies to lower ranked clubs,
Simba na polisi kenya sio level moja. Mshahara wa Clatous Chama unalipa the whole squad ya polisi kenia