Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa mm kosa langu lipo wap? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
eti mm kosa langu lipo wap
 
Kwani tulikuwa tinajadiliana kuhusu Obama tena?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.

Inaonekana pigo imekuwa nzito sasa unatapatapa TuπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
mm mbna sjasema chochote mm nmekwambia ni mtanzania ukasema hapana, au na hawa wamekosea hawajui clan ya obama?
 
Kwani tulikuwa tinajadiliana kuhusu Obama tena?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.

Inaonekana pigo imekuwa nzito sasa unatapatapa TuπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
lakini si ulikua unasema dewji sio mtanzania ama umebadilisha tena?
 
Huyo ni Mwarabu. Mtanzania ni mtu ka wewe, Mo Dweji ni MwarabuπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Singida ipo which part of Uarabuni?
You people don't realize Tanzania imekuwa nchi wakati tayari jamii zake zimeshachanganyika tayari, endeleeni kulia
 
mm akhaa sjasema ivo, nmesema ukiangalia gari zilizo ndan ya kenya vs exported ones, za ndan znaonekana takataka kumbe kampuni la watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si wewe mwenye amesema ATI buses zenye zinakuwa exported by AVA and Master ni top notch?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…