Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Have you been following the discussion ama unaangukia tu kama mjinga?
 
… huko kunya mkikaa darasani mnajifunza only english language,
with that strong & ugly mothertongue

… huko kunya mkikaa darasani mnajifunza only english language,
with that strong & ugly mothertongue
A few posts ago uliuliza, β€œHow is English grammar related to education?” Sasa unauliza kama tunajifunza English pekee darasani. Huoni kama unajikanganya mwenyewe? πŸ˜… Enyewe wewe ni clown.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…