Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwan is that a tough question ilikua, umeambiwa weka picha ya full pitch kijana au ni swali gumu sana 🤣 🤣
Kijana wa Tandale, Mimi sio mbishi kama wewe.
Ulisema waliruka hadi katikati ya uwanja kufanya stitching. Jana nikakuuliza kama ni hivyo, what are these stitching lines doing from one end of the field to the other at the center of the pitch? If you can't answer that simple question then just shut up Nyamwezi!
 
mpaka unatia huruma 🤣 🤣 🤣 endelea kuificha ile picha
 
mbna kama unataka kulia 🤣 🤣 kwahio kwenye tournament nzima mnahost mechi 6 tu? 🤣🤣🤣 $30M for 6 matches 🤣🤣
We won't host any match Nyamwezi. Kwani were we going to host AFCON?
 
Hiyo hapo juu ni screen ya smartwatch?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…