Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kukariri mambo Nyamwezi
lakini has been a while hutak kupost nyasi shida nn 🀣🀣🀣 btw wakati nakwambia hio stadium ni ya viraka ulikua unabisha sana 🀣🀣🀣🀣
 
Hiyo maku ya Arusha iko approved?
Talking of locating everything in Nairobi wakati Kenya is building stadiums in all the 47 counties as I type this. Are you even listening to yourself?
stadiums ama cowsheds 🀣🀣🀣 hazina ata uwezo wa kuchezesha preliminary champions league match 🀣
 
jamaaa kaweka kabisa makochi kuelekea uwanjan 🀣🀣🀣🀣🀣 mchina mtu mbad na hapo bado mashabiki hawajakaa kule mbele 🀣🀣🀣
 
we nae mshamba, hilo dili la wakubwa mnapigwa 🀣🀣🀣 your politicians went and bought land in zambia kitambo sana, and you will buy maize from the price they want
 
bad sight plus a pillar on the way 🀣 🀣 what type of engineering is this
 
Inaonekana watu wanaotokea nyanda za juu kusini wanamuelewa sana idd amini mama siku hizi kuna mmoja hasemi mama kafanya sijui nn kimemkuta nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…