Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi poa.
Huyu mwana anadai vitu vipo vyuma ya wakati.
Ni vile tu ule uwanja ni mdogo tunaweza sema maybe tuone kama watakimbiza ila by now ilitakiwa ile stage ya arusha ndo viwanja vyote viwe, kwa lugha nyepesi saaahv inatakiwa unafanya finishing baada ya mwezi wa 12 ndo final hakuna extension tena

also yule waziri wa michezo wa kenya alisafiri kwenda rwanda kuomba viwanja vyake vitumike kama training pitch, ukijumlisha ule uwanja wa ngong nao ndo kwanza wanarudia tena kupanda nyasi 😭 😭 😭 😭
 
Vitu tunavyopenda kuviona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kitara wamemkosea sir God wapi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , hao tusker wangeona wenzao wamekula 7 wangekata tamaa tu
 
🀣🀣🀣🀣news just in , ati Tanzania has threatened to strike israel if hostilities against hezbollah in lebanon continue...

'Jeshi letu liko imara'πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ™Œ
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œspecial ability to box the enemy while the vehicle is in motionπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡... specialised ability to carry and launch lethal tactical log missiles by hand πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ...
 
mbwa kala mbwa! Kuna mtu ataabika hap! NSE Dangote group IPO inatakiwa impatie Dangote $500 mln fedha ninayoamini haiwezi kutengeneza kipindi hiki!
BTW they always get the worse deals so that na wenyewe waonekane wana investment, i know sometimes kuna noise za state kuhusu investment but znasaidia, For example wakati mradi wa CNG kule south unaanza masharti yalikua mafupi kabisa, Take 20% we take 80%, mpaka leo bei ya kujaza gesi kwenye vituo its minimal kiasi kwamba kila mtu anajaza full tank
For example mtu wa bajaj saahv anajaza full tank kwa 6200, wa petrol anatumia karibia 16k apo, so if they all do the same route means wa CNG ends up with karibia 300k extra mwisho wa mwezi



ila kule dangote kaenda kawaambia nauza peke yangu kenya nzima na sitaki kuona any other cheap fuel inapitishwa , wakakubali πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…