Hawa jamaa ni washamba sana wa vitu vidogovidogo ndio maana wanadanganywa kirahisi na politicians wao.Umeona hizo bawaba! πππ
View attachment 3671041
Uwanja wa ngong ni upi?
Wakunya wanahongwa mpaka SUKUMAUsisahau na hii.
View attachment 3670903
Ni city kabisa huoni iko na hotel kabisa na tourists wana visit?BTW hii ni city
View attachment 3670633
Lugha ya kijeshi Uganda ni Kiswahili mostly.
Mpira pesa sio manenomaneno na janjajanja
Huyu jamaa kanawa? πUsisahau na hii.
View attachment 3670903
Wanakuwa destroyed na an informal army, so sad. Sasa hii wataweza kupambana na real army kweli?eeeh kumbe walinyoroshwa tena
View attachment 3670841
Land of plenty mpaka tuna display msosi ingekuwa Kenya hii hii gari isingetembea hata mita 1 ingekuwa nyeupe kabisa washakwapua kila kitu hapoπ€£π€£π€£I am gonna print and frame these 2 photos to my office wall to entertain my guestsβ¦ sorry Bongo .. No hard feelingsβ¦π
View attachment 3670845View attachment 3670846
hawa ni mpira mdomo, cha ajabu naona reality ishaanza kuwaingia wamebaki wanalalamika AFCON sasa itakuaje πMpira pesa sio manenomaneno na janjajanja
apo wamepiga pozi za picha, ilivokuja swala la uhalisia sasa
Skyline ya 20km from CBD π
apo ni $1.3B π πNo different to Amahoro, only I am bewildered to see a 32 inch screen View attachment 3670893
Anajifanya hajui EAC rule of origin in customs tax. You pay tax in TZ and then pay again at the Kenyan border (where the EAC rule of origin applies), creating double taxation, which defeats the whole idea of avoiding KRA's high taxes.Now this one be a very bitter pill for you to chew, says I.
Aah wapi, Na venye huwa wanatumia gazeti kuchamba. πππHuyu jamaa kanawa? π