Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawa ni mpira mdomo, cha ajabu naona reality ishaanza kuwaingia wamebaki wanalalamika AFCON sasa itakuaje πŸ˜‚
Unajua unaweza ukapima economic development kwa vigezo mbali mbali mfano maendeleo ya soka yanaashiria spillover effect ya development na ndio maana nchi zote mfano hapa Africa zenye ligi na teams bora ni nchi zenye uchumi mzuri amabo ni halisi na sio uchumi artificial
 
alafu hawaongei sana, mnaingia uwanjan kamba 8 na huezi wakuta wanatamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama hawajashinda vile
 
Hapa kuna harufu nimeanza kuisikia ya upikaji data πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/citizentvkenya/status/2099432110343811500?s=46
Sasa hivi wamechanganyikiwa, yaani hii ya Tz imewauma sana, kuna data zao za Acess to electricity za Tz huwaga wanaweka 40%, siku wakijua TZ Ina 100% watapika Data na kupublish chap . Hawa hata data za paved roads wanapika, gdp wanpika .. everything.
Wanahindana na Tanzania wakati Tanzania is minding her own business.
 
no need kupika data, cha muhimu ni kuwacheka tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ndo kwanza president nae kashaanza kukatiwa umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…