babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
πππHawa wapuuzi sana. Wenzao wanajenga multipurpose stadium kwa malengo yao,wao wanabeza. Hata ingekuwa wao ndio wamefanya hivyo na sisi kinyume chake wangebeza.
Now they gonna host WAC at Uwanja wa Magunia.
Hii itafungua ukanda mwingine wa biashara (Transit )kupitia Rukwa
Kundustan mtajua hamjui
View: https://x.com/AfroGrowth360/status/2094805658822463772
Wamesha secure place hapo Kala Dryport .View attachment 3671805
Naona zimbabwe nao wanarudi dar port kwa kasi kubwa mno
Dar port inawafaa majirani wengi, ukiona wanaacha kuitumia ujue ni ujinga na upumbavu wa wanaoemdesha hio bandari.View attachment 3671805
Naona zimbabwe nao wanarudi dar port kwa kasi kubwa mno
Hii beach front yote wangeipiga skyscrapers ingawa kwa kuzipishanishia nafasi, hatakua patamu balaa.Hapa Kushoto kabisa kuna uwanja ushakamilika na ushafungwa Taa , Pembeni yake kulia ni NHC Project. Hapo kulikua na nyumba zimechoka zishakula nyundo kupisha vitu vipya.
View attachment 3671726View attachment 3671726
hadi eye lashes zmeisha π€£ π€£ π€£ lets hope ameanza dozi