Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Siku 3 nangani unamaanisha wapi? Pale inaposhusha au kule nje ya bandari? Kule nje any time T kuna meli si chini ya 20. Sasa niambie ile meli ya 20 itakaa siku tatu kabla ya kuondoka? Obama avenue na Toure drive napita kila siku hizo meli huwa naziona kila siku. Meli ambayo haikai zaidi ya siku 5 ni ya magari kwasababu ina sehemu yake maalum kushusha ma kwa wiki zinaweza zisizidi mbili kuingia bandarini.
sasa hio constitution mnatupigia kelele nayo kila siku ina kazi gan 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 fridom ovu spichiMtu apambane na hali yake jameni- you have bigger problems, deal with them first before speaking for us.
View: https://x.com/cutemaria26/status/2100177062459806065?s=46
View: https://x.com/katunziblog147/status/2100260399023108385?s=46
Wakati kasongo anaendelea kuwabeba ufala ng'ombe wa north... Huku mambo yanaendeleaa. ..
Hata EACOP haijaisha , Bomba jingine jipya linakuja.
View attachment 3671972
View attachment 3671973
Ndio hivyo sio chini ya meli 20 zinasubiri kuingia.View attachment 3672020
Moored meli 22,hapo including tanker,container,bulk career na roro
Then why do the Bongolalas always lie here that their port is bigger…. Ama hii hawataona ..😆😆😆