Hixi ni propaganda za kijinga unaokota toka kwa accounts za kina Maria.Mtu apambane na hali yake jameni- you have bigger problems, deal with them first before speaking for us.
View: https://x.com/cutemaria26/status/2100177062459806065?s=46
View: https://x.com/katunziblog147/status/2100260399023108385?s=46
Hio NHC ikijenga ata 2% ya inayojengwa Kenya through Affordable Housing Program, niambie nifunge account.China ya Wakenya inajengwa kwa kasi sana
Imagine NHC pekee inajenga maghorofa 37 Kariakoo. Hapo bado hatujahesabu ya makampuni binafsi
View attachment 3672256
Uwe hata unaangalia video za Bertin uone Tanzania ilivyojaa neighborhood zenye decent houses, nyingi hata hamjawahi kuzisikiaHio NHC ikijenga ata 2% ya inayojengwa Kenya through Affordable Housing Program, niambie nifunge account.
Mombasa should be ahead of Lagos, 1.6 vs 1.2 TEUs
Mombasa did 2.1M TEUS in 2025.Mombasa should be ahead of Lagos, 1.6 vs 1.2 TEUs