NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Siku hizi hata vitu vya kutafuta tu kwa mtandao akina mbilikimo wanashindwa.Mombasa- Malindi highway si 6 lanes .. kwanini unataka kudanganya watu.?
Dodoma na Unguja zitatangulia kupata six lanes roads before Mombasa. As we speaking tayari Unguja barabara inajengwa, Dom tayari tenda Umeshatangazwa,
Ndio hususani Utalii na AfconCrazy,wanaanza tu na route ya mara 3 kwa wiki,british wamenusa kitu,aitowachukua muda wataleta daily flight hawa
Hii sio kichwa tu cha mwendawazimu bali ni mwili wa mwendawazimu 🤣🤣🤣
we are extremelyyyyyyyyyy happySasa hivi watalii na wasafiri wengine wa UK watakuja direct to TZ bila transit ya naikundu,hapa tunazidi kuibana kq route zake za TZ
Hell to the No!!!!!!!
You are now celebrating deaths? You have taken the mantle from the Watchman aka best 007 …
did you see any party there on the post? btw kazi yako mpya ya kupost results umeikimbia?You are now celebrating deaths? You have taken the mantle from the Watchman aka best 007 …
There is no limitation on how low a Bongolala can Stoop … suit yourself…🚧💩☠️