Kile kipande cha barabara ya Mamdela road toka Tazara hadi uhasibu hakikajengwa badoBRT terminal for JNIAAFCON itaenda as planned, straight from the plain unaingia BRT straight mpaka stadium hakuna foleni
View attachment 3673584
View attachment 3673585
View attachment 3673590
View attachment 3673594
View attachment 3673601
ile ya bungoma ni huzuni 🤣🤣ukishuka tu kwenye ndege unaingia kwenye bati lenye matobo, unapumzika kidogo unaungana na wengine kwenye kunguni
Bado kinaendeleaKile kipande cha barabara ya Mamdela road toka Tazara hadi uhasibu hakikajengwa bado
Ungejua how passports zinakuwa ranked hungepost hizi ufala 🤣
Pole sana Kenya’s passport is stronger than Tanzania’sthe new heavy weight, most POWERFULL passport in the region
View attachment 3672695
Hapo ni kitambo, Kwani what do you think the protests were about, si mlitucheka tukifanya maandamano?umeskia cases za watu kuwa abducted again and found dead since then? Nyinyi mnakuwa abducted hapa kila siku na mnaongea kuhusu kenya. Hadi Vice President mzima na hakuna anayemuongelea hapaIamLee atleast its condemned, right?
View: https://x.com/Kowakh_Michael/status/2100715126391197917?s=20
Unaleta Story za Nigerian na Mwendawazimu aliyekimbia nchi.
We are not heartless like you guys. We love helping the poor.Wafukuzeni basi the same way you did to those poor desperate hutu street gahawa vendors. Just try them.
What about the Poor from Burundi ?We are not heartless like you guys. We love helping the poor.
Kisumu tena 😂😂😂Imagine kuna wakunya ignorants waliwahi fananisha Dodoma na mji fukara kama kisumu sijui sumu.
Dodoma City
View attachment 3673674