Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walichukua isuzu 2 wakawapangisha foleni zikawa zinapita kwenye lipstick, mwishowe hali ikawa nzito 😂😂😂
 
😆😆 wanataka wafanane na Morocco eti. Jirani anachekesha sana, angalia upuuzi wanaoujenga sasa, kazi mbovuu. Wanatandika taruma juu ya udongo aisee. Mvua zikinyesha kali reli yao itasombwa na maji.
Hiyo ndio inaitwa reli jua kali 😄😄
 
I thought I was talking to someone with a brain. Forgive me. 🚮🚮
 
Hii issue ya refinery ya dangote TZ na UG kutokuwemo kunyan wanaumia sana,usione wanajichekesha chekesha,wanajua fika nasi tutajenga refinery yetu,in short kunyan wanataka wanufaike na geography ya TZ
Kinachowauma zaidi ni mafuta yanakuja straight badala ya kwenda kuomba nja 😂😂😂😂 apo bado SGR ta tz hazijaungana walie vizuri 😂😂😂 na sio kwamba hatuna wateja basi tu, tuna agenda na uganda alafu sehem zingine zinafuata
 

Maku wanataka reli yao iunganishiwe upande wa singidazhawa wangese awalindi migongo yao aisee
 
Ni vile akili tu hamna,si mlikua mnatupigia kelele humu kuhusu sgr ya diesel,kilichowakuta siku ya uzinduzi wa safari ya dar -moro ndio siku mliyoanza kuandama ruto must go
actually the one who promsied alikua uhuru 🤣 🤣 🤣 hepromised an electric train kwenye kampeni 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…