Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa mwaka huu tumewanyorosha more than 8 times ulikua wap 🀣 🀣 and whats funny wale mlioweka sio under 23
 
Mshaloose game nyingi dhidi ya Tz kuanzia soka la wanawake mpk la wanaume ndo mana leo imeonekana ni kitu cha ajabu saanaa hata nyinyi wakenya hamuamini
Hii game tungelose wangekuwa wamejaa huku wakitwambia vile football is the only sport worth investing in.🀣🀣🀣


I prophecized this a few minutes agoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakunya mmeleta wazee,nimeiona hiyo match,kunyan wazee ndio under 23 yao

They have been defeated amateurs wakadhani wanaweza kushinda our senior teamsπŸ˜‚πŸ˜‚
Tumefungwa fairly.
Makocha Tanzania wazawa hakuna, kuna upumbavu mwingi sana ulikuwa ukiendelea pale TFF
Hii ni jana usik namwambia mwana tunapigwa kwakua makocha hakuna.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/2104279684020326761
Mimi miaka mingi sana napiga kelele kuhusu huyu mkurugenzi wa ufundi pale TFF na ndio responsible na kuwapa kandarasi makocha wangese kama hao

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1907871028283424855
View: https://x.com/KipepeComrade/status/2003207264442978602?s=20
At last, leo wamelifanyia kazi huyu takataka Oscar Mirambo

View: https://x.com/Tanfootball/status/2104503090686595295?s=20
 
I wish kumjua aliemchagua ahmed ally, worst football played today
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…