Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpira hauchezwi na FIFA rankings. If that were the case, you could have easily beaten Guinea Bissau coz you rank higher than them
Even you do rank above Eritrea a weak team na bado mkashindwa kuwafunga.
Tanzania 1-0 Madagascar .
Tunaongoza huko tunaojua mpira.
 
Unapenda kuchukua picha za hii stadium unazipiga screenshot na simu yako ya matakataka alafu unazipost zikiwa poorer quality na unajiona umefanya kitu cha maana sana. Hivi ni simu nzuri huna ama ni roho mbaya tu?
sasa mm kosa langu nn 🀣🀣🀣 mm ndo nliwaambia mchore 4km's away 🀣🀣🀣🀣
 
Hiyo nchi imeshafeli. Kilichobaki ni wananchi wao waanze kukimbilia tu nchi za watu kutafuta maisha πŸ₯²
kuna mtu kaleta video leo kadada kanalalamika amna cash flow, its expected ukizingatia na Teargass nae kaacha biashara ya mtindi 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…