Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi sina picha naezasema ni Kali cause I don't dedicate days for photoshooting like you. Real men don't do photoshooting, ama ni vile ulitoka mashambani ukashtuliwa na mambo ya studios?
Mara ngp umeweka picha zako humu ambazo kiukweli zinachekesha, kuna siku uliweka picha una viatu vya matairi, nilicheka sana cku ile, unajua kwnn nilicheka?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa wakenya waache ujinga, tunawazidi vitu vingi sn na hata wao wanajua, sema wanajizima data tu, na ni vile tunawapa airtime kama hapa kwenye hili jukwaa basi wanadhani sisi ni saizi yao, lkn ukweli ni kwamba hakuna ulinganisho baina ya Tz na ke in many aspects.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…