Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani refinery inapigiwa kelele kweli. Wakati hata Tanzania tunajenga ya kwetu. Ukiona kelele hivyo ukue kuna kitu kinafichwa hakiko sawa.
EACOP ile ndio inayowaumiza,walitaka waingie kwa mgongo refinery ya dangote,ukitaka kujua wameumia angalia upande wa serikali ya TZ baada ya kufunga mjadala wa refinery ya dangote awajaongea tena,wao sasa na dangote kila siku tanga aiwakauki mdomoni
 
Sku sio nyingi unakua chokoraa? mm nmepost nmeenda Boma inn?????????? unajua ata niko wap saaahv 🀣 🀣 🀣 au umaskini unakusumbua
 
I like the way you people dart between dismissing this project as a white elephant and crying over losing it to Kenya.πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba TZ ilikua inashindana kupata huu mradi .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajitafutia battle unasema mpinzani wangu atakua fulani halafu unajitangaza umeshinda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…