Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
π
Kwa mnyamani, vingunguti, buguruni yooote kuna miundombinu gani?
Kwa mnyamani na vingunguti kuna mfumo wa maji taka we Lofa? Ile harufu kalii ukitoka airport hutoka wapi?
View attachment 3688367View attachment 3688368
Hii ni Kibera affordable housing iko na 15k units
Wewe ndiye unamchagulia mtu, Eti asitume picha. Thread hii tunajuana. π€£ π€£ π€£ π€£Changia mada bro ila usipende kumchagulia mtu cha kupost. Pia niliyemlenga najuana naye umedandia gari kwa mbele.
Hizi picha za google za zamani leta latestView attachment 3688388View attachment 3688389View attachment 3688392
maku hiyo mitaa uliyoitaja huwezi kukuta nyumba za bati uchafu kama huko kwenu mngese ww ππ
actually hio picha nmeipata kwenye war ya south vs kenya, sjui ata wamezitolea wap π π πBro picha zingine usilete. Naona kama sio sawa aisee. Lete tu kuonesha slums basi. Ila picha za hunger and famine kama hizi hapana ni sawa na dhihaka usilete kaka.
AIMnyama anainuka.
View attachment 3688433
hujamalizia,SGR ya Kenya ni ya hadhi ya chini ni sawa na reli yetu ya Mgr ya zamani. Yani reli yao ni jointed rail inatikisika kinyama. Sio sawa na yetu continous welded. Pili Tanzania ndio imejenga kilometa nyingi za reli ya SGR kuliko nchi yeyote hapa Afrika Mashariki na kati. Weewee tutakubabua sasa unaongea tu na sio facts tena.
Kenya hadi sasa reli yao imetokomea porini huko haijulikani lini inaendelezwa.
Meanwhile kule Dodomaβ¦its game over π π π huu uwanja cant beat the deadline
View attachment 3688440
View attachment 3688441
View attachment 3688442
View attachment 3688443
yaani huu uwanja uanatakiwa kukimbizwavibaya mno
Wanatakiwa waongeze manpower na more equipments sasa!yaani huu uwanja uanatakiwa kukimbizwavibaya mno
Wamelipa deni?its game over π π π huu uwanja cant beat the deadline
View attachment 3688440
View attachment 3688441
View attachment 3688442
View attachment 3688443
waanzie wap, si unaona ni vijana wa jua kali ndo wamepewa kazi π π π π kwanza kocha wao uku analia tuWamelipa deni?