Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uongo mtupu😂
 
All Tanzanians that have been to Nairobi will agree with you. Achana na hawa bado wanalishwa na mama Yao.


View: https://x.com/PolycarpMDM/status/2108624667036840314
 
Yaani miaka hii unafikiri utamdanganya nani?🤣
We magonjwa umewahi kufika Kenya?! Umeziona residential houses za Westlands, Kileleshwa nk?! Au ndio umejifungia hapo Kazuramimba unafanya keyboard warmongering! Tembea uone ujifunze
 
Since there are no hospitality facilities around, my insider info tells me this could be a nice AFCON biz opportunity for some low level Airbnbs…
Over to you Bongolalas..😜😜😜
 
We magonjwa umewahi kufika Kenya?! Umeziona residential houses za Westlands, Kileleshwa nk?! Au ndio umejifungia hapo Kazuramimba unafanya keyboard warmongering! Tembea uone ujifunze
Mimi sio magonjwa hilo ni jina langu tu lakini tabia ya kuongea uongo ukome tafadhali🤣
 
Iwe pembezoni wala nini you'll never see a place like that in Nairobi.

Na kama mnajua hizi zote, sasa majigambo ya ukubwa wa Dar ni ya nini wakati huo ukubwa hauna umuhimu wowote? Mbona mjigambe Dar ni kubwa wakati sehemu nyingi ni mahame tu?
Hehehehehh unachekesha wewe. Pembezoni mwa mji ndio sehemu kubwa!? Unataka kusema kote palipojengeka ni padogo kuliko pembezoni mwa mji!?
Pia hayo sio mahame,mahame ni maeneo yenye magofu ruins. Je hapo umeona ruins!?
Is better Dar tuna mashamba ila huwezi ukakuta sehemu kama KIBERA yenye nyumba za mabati na maji taka ya wazi huku Dar.
 
Huyo hata hajakaa Dar sembuse Nairobi.. ni wa huko mbeya mbeya. Funny thing ni kama miji na vijiji vyote Tanzania wanajenga the same way. Hiuku mbeya cbd si ni kama Dar dreamhouses tu.. View attachment 3689412
Show me any Bongo city or town and I will zoom for you Uswazi dream houses …🤣🤣🤣… they make up 80% of all their urban spaces…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…