Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi kuhusu Ile ya malaba almost 17 years bado kumaliza hata 700km, unataka compare na mwanza 1200km from dar ambayo imeanza Jengwa 2020s
Nauliza swali unanijibu na swali....kwanza yetu itafika malaba kabla yenu kukamilika....lakini tangu enzi za marehemu...story ni SGR ,sgr,sgr...malizeni hii kitu mfikirieni mambo zengine..ama hela hakuna?
 
You are a dumb guy pretending to be smart.
 
AISEEEEEEEEEEE






Sasa nilikuwa wapi na hii mada vipi GEN Z wa kenya mliangusha serikali?????????????????????????
 
Nauliza swali unanijibu na swali....kwanza yetu itafika malaba kabla yenu kukamilika....lakini tangu enzi za marehemu...story ni SGR ,sgr,sgr...malizeni hii kitu mfikirieni mambo zengine..ama hela hakuna?
sasa huoni kama wewe ndo unachanganyikiwa, ya kwenu mission ilikua kwenda Uganda but mpaka sasa tunavoongea haijafika ata malaba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…