Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lakini mwaiofhawaii mbna kama hii picha unaikwepa sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ i asked a simple question, hii ndo BYUTIFICATION ulikua unasemea ila mpaka sasa unakwepa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
The topic is refinery … focus!…
yes and they have been exporting crude for the longest, kwan ulidhan walikua wanaexport kupitia wap πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ and also for sudan it makes sense because they have oil so its cheaper to import from them than using ships than need insurance πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we can as well import from them whynot, infact its VIZA free for tz
 
Uchumi wako na USA unafanana!?
Mpuuzi wewe USA ni world economic power house. Ana silaha ya dollar katika kila nyanja ya geo-economics.
Aya wewe una silaha gani kiuchumi kupambana na hali yako ya madeni!?
 
slums 🀣🀣🀣
Jamaa ni matako kweli yani bila aibu anajitutumua eti Marekani wana madeni zaidi ya GDP yao. Khaaa! Anafananisha nchi inayoongoza kwa uchumi duniani ambayo inafanya dollarization kwenye geo-economics na nchi yake ambayo hata dawa za TB zinamshinda.
 
Jamaa ni matako kweli yani bila aibu anajitutumua eti Marekani wana madeni zaidi ya GDP yao. Khaaa! Anafananisha nchi inayoongoza kwa uchumi duniani ambayo inafanya dollarization kwenye geo-economics na nchi yake ambayo hata dawa za TB zinamshinda.
uyo ni fala tu anasubiria unga ushuke apate chochote kitu maaana akili zake za uji
 
skia hii kipara πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hizi ni kunguni airways πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/KenyaAirways/status/1892146660442018041
View attachment 3691453
Ushai ona KQ iki operate a narrow body on those long haul flights? They operate the 737-800 regionally.. KQ operates only the 777-300ER and 787-8 fleet to London..unafikiria ni economical kubeba 129 passengers to all the way to London?
saaahv mnaexport mpaka kunguni london πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3691456
Hata author ashakufanyia clarification hapa, if you cared to be thought for..

View: https://x.com/mastardcesh/status/2110382623017030012?s=46
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…