Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah! Hii Sasa sifaaa πŸ˜‚πŸ˜‚

Majirani wana struggle na uchafu wao wa diesel inaenda 20yrs Sasa! Hapa Bongo electric inakwenda 3k kilometers.. fully electric. Nani ni super power?

Hapo ndio tunakwenda zetu SADC hivyooo
Superpower juu ya electric train sasa
 
Dah! Hii Sasa sifaaa πŸ˜‚πŸ˜‚

Majirani wana struggle na uchafu wao wa diesel inaenda 20yrs Sasa! Hapa Bongo electric inakwenda 3k kilometers.. fully electric. Nani ni super power?

Hapo ndio tunakwenda zetu SADC hivyooo
Btw ukitoa SADC countries, HIV inaisha Africa 🀣
 
You can't know Dar es Salaam from Google maps.

Stop being this dumb.

Get out of your Mabatiment.


View: https://youtu.be/SdNeE8nAR3s?si=Vtpj421w0_SwGun7
 
Yeah huko sishangai hakupajengwa. Ulitaka watu wajenge kote kwa wakati mmoja!? Naona unaropoka huna point unayoongea. Ni sasa Nairobi huwezi kukuta mapori ila pia Dar huwezi kukuta NYUMBA ZA MABATI KAMA KIBERA. Kwahiyo bora mapori ambayo hayajajengwa au nyumba za mabati!?
 
I confirmed a transaction of $24k from CFFA & DE agosto to use Uhuru stadium this weekend, total goes around $48k


i have no idea how much HOIMA generated from the somali rental and sudan, but its nice seeing stadiums generating revenues very early





ebu Nicxie ebu tupe some stats how much your stadiums are generating so far from these disko lights 🀣 🀣 🀣 🀣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…