Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawataki kufanya hivo maana wataonekana wamekiri kilichofanyika.
 
yes ni sahihi kabisa imagine dunia nzima inaombeleza wao wameshindwa kutambua na kujua kua watu wengi sana wamekufa bila hatia tena kwa kupigwa risasi wazi wazi

nchi hii kwa sasa inasikitisha sana na inati huruma sana πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

lakini hakuna damu ya mtu wala haki ya mtu itaondoka bure juu ya uso wa dunia kila damu iliodhulumiwa italia kwa nguvu mpaka dunia itakaposimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…