Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
The problem is, kila mtu anairushia lawama serikali, haitakiwi kua double standard, ulitakiwa kusema waliochoma vitu na serikali kwa pamoja, ila nyie mnataka serikali ionekane ndo mbeba msalaba mzima, hakuna serikali kama hio dunia nzimaDuh!mkuu hapo umepotoka,kuna watoto walikufa nao ilikua haki yao?tuipende nchi yetu ila kwenye makosa tusiache coz sababu tu chama au kiongozi unayemkubali,hivi unajua hadi watu wa ccm walikufa siku ile,kwenye kizuri tusifie kwenye ubaya tukemee
Sio rahisi ivo, kuna kiongozi mmoja alishawahi kutoa huu msemo "its a disaster to be US allie but a death sentence to be his enemy"
View: https://x.com/nicksortor/status/211582719a=SOZ1KODVaey4HJX8Bf0&s=19hii pesa ambayo marekani inalalamika imeibiwa na wakunya ni ndogo mno ukilinganisha na rasilimali ambazo marekani na europe wanaiba afrika,viongozi wa kiafrika sijui wanashindwa vipi kufanya rasilimali zilizopo afrika zinufaishe afrika tu!
Chukulia mfank hawa ni wananchi wa marekani na anapokaa jamaa yetu mwai sadik, ukianza kukaa na kusema marekan ina uchumi mkubwa utakaa apo usubirie
View: https://x.com/nicksortor/status/211582719a=SOZ1KODVaey4HJX8Bf0&s=19hii pesa ambayo marekani inalalamika imeibiwa na wakunya ni ndogo mno ukilinganisha na rasilimali ambazo marekani na europe wanaiba afrika,viongozi wa kiafrika sijui wanashindwa vipi kufanya rasilimali zilizopo afrika zinufaishe afrika tu!
Kaka wewe upo nje, habari nyingi unazipata kwa kusikia tu, mimi nipo Dar na hiyo siku wanafanya huo uhalifu mimi nilikua nimetoka nilishuhudia ninayoyaeleza hapa, na picha ninazo nilizopiga mwenyewe kwa mkono wangu..Duh!mkuu hapo umepotoka,kuna watoto walikufa nao ilikua haki yao?tuipende nchi yetu ila kwenye makosa tusiache coz sababu tu chama au kiongozi unayemkubali,hivi unajua hadi watu wa ccm walikufa siku ile,kwenye kizuri tusifie kwenye ubaya tukemee
Itβs not about how long the deal is, itβs about How much will they spend?You see the difference 10 year deal vs 90 mins old men match π€£π€£π€£π€£
10 years, thats alo of PR for a small country yaani raisi anachagulia anarudi tena ndo mkataba wa rwanda unaishaItβs not about how long the deal is, itβs about How much will they spend?
Sijakataa uhalifu kama ulikuwepo,ila kuna watu walikufa wakiwa hawahusiki na maandamano,kwa mfano kuna mwenyekiti wa mtaa wa mburahati mianzini kwa kupitia ccm alikufa ile siku,alikua anatoka kupiga kura,na siku ile ya uchaguzi alikua amepita kwenye nyumba za wanaccm wazee wengi tu mtaani kwake na kuwapeleka vituo vya kupiga kura,sio wote walikufa walikua kwenye vurugu mkuuKaka wewe upo nje, habari nyingi unazipata kwa kusikia tu, mimi nipo Dar na hiyo siku wanafanya huo uhalifu mimi nilikua nimetoka nilishuhudia ninayoyaeleza hapa, na picha ninazo nilizopiga mwenyewe kwa mkono wangu..
Hatufai kuilamu serikali katika hili kabisa, watu walio nyuma ya hili wapo wazi, wanyoosheeni wao vidole, msimuangushie jumba bovu samia eti kwasababu hamumuelewi/ hamumpendi..
Hata mimi simkubali lakini tujifunze kusema vya kweli sio kuongea uongo tu kwa kumkandamiza mtu. Walioingia road tuliwashudia kwamba walikua ni akina nani.. Dar ilifurika watu wa mikoani siku zile, mazuzu mengi yaliokotwa kutoka Mbeya na kaskazini huko ( kimsingi vilaza wengi wa kufuata mikumbo wako huko kwa hii Tz ndio mana hata wale wachungaji wengi wezi wanatokea maeneo haya).
Chukulia mfank hawa ni wananchi wa marekani na anapokaa jamaa yetu mwai sadik, ukianza kukaa na kusema marekan ina uchumi mkubwa utakaa apo usubirie
"Survival for the fittest"
View: https://vt.tiktok.com/ZSgW1Js3R/
Siku ile kila mtu aliona vurugu,hayakua maandamano ya kawaida,ila ukija kwenye waliokufa,kuna ambao walipatwa na lile janga wakiwa hawapo kwenye vurugu,hao ndio ilibidi waangaliwe damu zao zinalipwa vipiThe problem is, kila mtu anairushia lawama serikali, haitakiwi kua double standard, ulitakiwa kusema waliochoma vitu na serikali kwa pamoja, ila nyie mnataka serikali ionekane ndo mbeba msalaba mzima, hakuna serikali kama hio dunia nzima
Kaka siku ile mauaji yalikua ni ya pande mbili, wapo watu waliouwawa wengine kwasababu tu hawazumgumzi lugha moja na waandamanaji, na wapo polisi waliokabiliana nao, na ndio sababu waliuwawa hadi watu wema tu kwa nchi yao. Hawa vijana wamevaa sare za polisi waliowawa na wanachi Dar hiyo ππΎSijakataa uhalifu kama ulikuwepo,ila kuna watu walikufa wakiwa hawahusiki na maandamano,kwa mfano kuna mwenyekiti wa mtaa wa mburahati mianzini kwa kupitia ccm alikufa ile siku,alikua anatoka kupiga kura,na siku ile ya uchaguzi alikua amepita kwenye nyumba za wanaccm wazee wengi tu mtaani kwake na kuwapeleka vituo vya kupiga kura,sio wote walukufa walikua kwenye vurugu mkuu
Nimemuweka ignore list wala sijamjibu.Duh!mkuu hapo umepotoka,kuna watoto walikufa nao ilikua haki yao?tuipende nchi yetu ila kwenye makosa tusiache coz sababu tu chama au kiongozi unayemkubali,hivi unajua hadi watu wa ccm walikufa siku ile,kwenye kizuri tusifie kwenye ubaya tukemee
Ufaransa wanaandamana na kuchoma maduka na vurugu nyingi tu uliona kuna watoto na mama zao waliopigwa risasi za vichwa? Eti udini? Kwani waliouawa ni dini moja? Kweli kama anavyosema ichoboy01 ukiweka uchawa mbele huoni hata kitu cha wazi kilicho mbele yako.Siku ile kila mtu aliona vurugu,hayakua maandamano ya kawaida,ila ukija kwenye waliokufa,kuna ambao walipatwa na lile janga wakiwa hawapo kwenye vurugu,hao ndio ilibidi waangaliwe damu zao zinalipwa vipi
Kaka ulishuhudia uchomaji wa wanaojiita waandamanaji wa kibongo.? Au uliishia kuona zile videos za CNN.? Yooo Dar ilichomwa kuliko kawaida, mji wote ulikua ufuka moshi, mali nyingi zilichomwa kwa wivu na chuki za viongozi wenu wa dini dhidi ya matajiri wa kiislamu. Uzuri videos zote zipo mitandaoni. Buguruni ile iliwaka moto usivyojua wewe, serikali isingetumia nguvu kubwa kuwatuliza sahii tungekua tunaongea mengine hapa.Ufaransa wanaandamana na kuchoma maduka na vurugu nyingi tu uliona kuna watoto na mama zao waliopigwa risasi za vichwa? Eti udini? Kwani waliouawa ni dini moja? Kweli kama anavyosema ichoboy01 ukiweka uchawa mbele huoni hata kitu cha wazi kilicho mbele yako.
Ni huzuni broUfaransa wanaandamana na kuchoma maduka na vurugu nyingi tu uliona kuna watoto na mama zao waliopigwa risasi za vichwa? Eti udini? Kwani waliouawa ni dini moja? Kweli kama anavyosema ichoboy01 ukiweka uchawa mbele huoni hata kitu cha wazi kilicho mbele yako.
hakuna barabara bana πππ tears za Teargass mmeziona
View: https://x.com/HangetrollsUg/status/2115811952001945832?a=2cIpEzgwTiNMo1LRnBw&s=20
The same Ugandans despise you while praising Kenyaπ€£AFCON in uganda will be something
View attachment 3699909