babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Duh hapana mkuu, kilichotokea October mwaka jana sio jambo zuri, nguvu iliyotumika ilikuwa kubwa sana.Acheni mambo ya upotoshaji nyie bhana, sisi tumeona kwa macho wala sio hadithi .. waliuliwa ilikua ni haki yao kuuwawa, msiitupie lawama serikali kwa matokeo ya matendo yenu maovu nyie. Achani uongo bhana.
Nimeshudia kwa macho vituo vya polisi vidogo vyote Dar vilichomwa, nilishuhudia vijana waliovaa sare za polisi wakijinadi mitaani kuua baadhi yao, nimeshuhudia mali za watu zikichomwa, mali nyingi sana za watu zilichomwa , nimeshudia miondombinu ya umma kuchomwa na miningine kuharibiwa vibaya sana, mlitaka serikali izuie watu wenye dhamira ya kuliangamiza taifa kwa maneno.?glad hawakufika kariakoo siku ile mana wangefika katikati ya mji sijui wangeharibu uchumi wa hili taifa kwa kiwango gani, Nyie vipi nyie vipi nyie.? Msitakueleza mambo kwa chuki zenu tu..
Mnahoji serikali kwa kuwajibika kulinda usalama wa nchi.?
Mbona msihoji walioanzisha mambo ya kuzuia uchaguzi.? Mbona msihoji walio organize kuchoma mali za umma na zile za watu binafsi kwa wivu na husda za kidini.? J
Je wakati mnaanza hiyo mijadala hatukuwaasa kuwa msifanye hivyo.? Watu wema hawakuwakataza kwamba hiyo njia mliyochagua ina matokeo mabaya.?
Msimbebeshe mtu lawama asizostahili, laumuni matendo yenu bhana. Nyie kila anaekua raisi kwenu haifai, ajabu huyo raisi akitoka mnakuja tena mnasema eti alikua mtu mwema.
Mbona nyie watu wanafiki sana wazee.? Acheni bhana mambo ya unaa,
Kaka nguvu waliyotumia waandamanaji ilikua ni zaidi ya vita mkuu, waandamanaji walipigana vita na polisi ground, serikali isingeruhusu shot to kill polisi wangezidiwa. Mimi nilishudia kwa macho sio hadithi wanazoleta jamaa humu mitandaoni. Hizi picha nilipiga mimi wakati natoka kariakoo nirudi home Sinza. Nililazimika kupita kwa miguu kutoka kariakoo hadi mabibo mwisho. Huu ni uharibufu niliokutananao tu njiani. ππΎ makundi makubwa ya watu walichoma kila biashara ya njiani waliyokutananayo .. mlitaka serikali uwazuie kwa mabomu ya machozi.?Duh hapana mkuu, kilichotokea October mwaka jana sio jambo zuri, nguvu iliyotumika ilikuwa kubwa sana.
Mimi huwa sipendi sana kutoa maoni kwenye kilichotokea.
Tupost maendeleo ya Tanzania hizo story tuache asee.
Kaka wote tunajua ukweli, hizi story tuache.Kaka nguvu waliyotumia waandamanaji ilikua ni zaidi ya vita mkuu, waandamanaji walipigana vita na polisi ground, serikali isingeruhusu shot to kill polisi wangezidiwa. Mimi nilishudia kwa macho sio hadithi wanazoleta jamaa humu mitandaoni. Hizi picha nilipiga mimi wakati natoka kariakoo nitudi home Sinza. Nililazimika kupita kwa miguu kutoka kariakoo hadi mabibo mwisho. Huu ni uharibufu niliokutananao tu njiani. ππΎ makundi makubwa ya watu walichoma kila biashara ya njiani waliyokutananayo .. mlitaka serikali uwazuie kwa mabomu ya machozi.? View attachment 3701422View attachment 3701423View attachment 3701424View attachment 3701425View attachment 3701426View attachment 3701427View attachment 3701428
Kinachoniuma ni kuona ukweli unapotoshwa , anapewa zigo la misumari mtu asie na hatia.. tunaweza kweli tukawa hatumpendi kiongozi lakini tusimbebeshe misalaba. Watu wetu walifanya mambo ya hovyo sana, vifo ni matokeo ya uovu waliouanzisha.Kaka wote tunajua ukweli, hizi story tuache.
ishia huko endelea kupromote chuki zako, only thing you excel at π€£π€£10 years, thats alo of PR for a small country yaani raisi anachagulia anarudi tena ndo mkataba wa rwanda unaisha
Tuwache hizo storyDuh hapana mkuu, kilichotokea October mwaka jana sio jambo zuri, nguvu iliyotumika ilikuwa kubwa sana.
Mimi huwa sipendi sana kutoa maoni kwenye kilichotokea.
Tupost maendeleo ya Tanzania hizo story tuache asee.
nchi za wenzetu wanawajibika ipasavyo hapa umeona uwajibikqji???Siku ile kila mtu aliona vurugu,hayakua maandamano ya kawaida,ila ukija kwenye waliokufa,kuna ambao walipatwa na lile janga wakiwa hawapo kwenye vurugu,hao ndio ilibidi waangaliwe damu zao zinalipwa vipi
Hawa wameamua kufungua uwanja wao kwa style hii. Na sisi tutafungua kwa namna yetu. Subiri utaona. Ila Tz ingetumia β¬7m kuleta timu bado tungelalamika na kusema hizo hela tungejenga barabara au mngeanza kupiga hesabu idadi ya mashine za MRI etc.
tutafungua kwa style gani? labda wacheze machawa na simba au yanga π€£π€£π€£π€£π€£Hawa wameamua kufungua uwanja wao kwa style hii. Na sisi tutafungua kwa namna yetu. Subiri utaona.
Mkuu hapa umezingua kichizi.Acheni mambo ya upotoshaji nyie bhana, sisi tumeona kwa macho wala sio hadithi .. waliuliwa ilikua ni haki yao kuuwawa, msiitupie lawama serikali kwa matokeo ya matendo yenu maovu nyie. Achani uongo bhana.
Nimeshudia kwa macho vituo vya polisi vidogo vyote Dar vilichomwa, nilishuhudia vijana waliovaa sare za polisi wakijinadi mitaani kuua baadhi yao, nimeshuhudia mali za watu zikichomwa, mali nyingi sana za watu zilichomwa , nimeshudia miondombinu ya umma kuchomwa na miningine kuharibiwa vibaya sana, mlitaka serikali izuie watu wenye dhamira ya kuliangamiza taifa kwa maneno.?glad hawakufika kariakoo siku ile mana wangefika katikati ya mji sijui wangeharibu uchumi wa hili taifa kwa kiwango gani, Nyie vipi nyie vipi nyie.? Msitakueleza mambo kwa chuki zenu tu..
Mnahoji serikali kwa kuwajibika kulinda usalama wa nchi.?
Mbona msihoji walioanzisha mambo ya kuzuia uchaguzi.? Mbona msihoji walio organize kuchoma mali za umma na zile za watu binafsi kwa wivu na husda za kidini.? J
Je wakati mnaanza hiyo mijadala hatukuwaasa kuwa msifanye hivyo.? Watu wema hawakuwakataza kwamba hiyo njia mliyochagua ina matokeo mabaya.?
Msimbebeshe mtu lawama asizostahili, laumuni matendo yenu bhana. Nyie kila anaekua raisi kwenu haifai, ajabu huyo raisi akitoka mnakuja tena mnasema eti alikua mtu mwema.
Mbona nyie watu wanafiki sana wazee.? Acheni bhana mambo ya unaa,
huyo chawa anahisi damu ya mtu hua inaenda bure bure, zile damu zitalia mpaka siku kiyama kitasimama na kila aliehusika ataonja uchungu wa mamia na maelfu ya watu waliouwawa kikatiliMkuu hapa umezingua kichizi.
Kimsingi ukatubu.
Niliacha kuchangia huu Uzi.
Lakin comment yako imekushusha vyeo vyote.
Hakuna justification ya kuua kwa kilichotendeka mwaka Jana.
Week iliyopita tumeona hapo France, watu walivyofanya uharibifu. Lakin serikali ilikamata tu vijana na kuwafunga.
Mwaka Jana wangefanya the same. Sio kuua vijana tu hovyo hovyo.
Ili ni Doa kwa CCM. Na wasipokuwa makini. Litawaangusha wote.
Nina uhakika. Watasalitiana. Damu ni Kali sana na inalia vibaya mno
nikiwaambie uchawa ni cancer ya nchi hii muwe munanielewaAcheni mambo ya upotoshaji nyie bhana, sisi tumeona kwa macho wala sio hadithi .. waliuliwa ilikua ni haki yao kuuwawa, msiitupie lawama serikali kwa matokeo ya matendo yenu maovu nyie. Achani uongo bhana.
Nimeshudia kwa macho vituo vya polisi vidogo vyote Dar vilichomwa, nilishuhudia vijana waliovaa sare za polisi wakijinadi mitaani kuua baadhi yao, nimeshuhudia mali za watu zikichomwa, mali nyingi sana za watu zilichomwa , nimeshudia miondombinu ya umma kuchomwa na miningine kuharibiwa vibaya sana, mlitaka serikali izuie watu wenye dhamira ya kuliangamiza taifa kwa maneno.?glad hawakufika kariakoo siku ile mana wangefika katikati ya mji sijui wangeharibu uchumi wa hili taifa kwa kiwango gani, Nyie vipi nyie vipi nyie.? Msitakueleza mambo kwa chuki zenu tu..
Mnahoji serikali kwa kuwajibika kulinda usalama wa nchi.?
Mbona msihoji walioanzisha mambo ya kuzuia uchaguzi.? Mbona msihoji walio organize kuchoma mali za umma na zile za watu binafsi kwa wivu na husda za kidini.? J
Je wakati mnaanza hiyo mijadala hatukuwaasa kuwa msifanye hivyo.? Watu wema hawakuwakataza kwamba hiyo njia mliyochagua ina matokeo mabaya.?
Msimbebeshe mtu lawama asizostahili, laumuni matendo yenu bhana. Nyie kila anaekua raisi kwenu haifai, ajabu huyo raisi akitoka mnakuja tena mnasema eti alikua mtu mwema.
Mbona nyie watu wanafiki sana wazee.? Acheni bhana mambo ya unaa,
23 October 2026
Nairobi, Kenya
BREAKING NEWS : A 13-storey Building under construction in Eastleigh Nairobi's mixed use neighbourhood Collaspe today 23 October 2026
Johnson Arthur Sakaja the governor of Nairobi City County addresses media on the collapse site of Eastleigh along a busy commercial street
View: https://m.youtube.com/watch?v=4UhSiWoi_FY
Jengo la Ghorofa 13 Laporomoka Eastleigh Nairobi, Kenya. Hofu ya Watu Kunaswa Chini ya Vifusi
View: https://m.youtube.com/watch?v=deofUONuIt0
Watu walishauriwa wafanye reforms mapema kabla ya uchaguzi wakakaza shingo saa hizi wanalalama kwamba mama anabebeshwa zigo la misumari.Mkuu hapa umezingua kichizi.