no need kuelezea sana mkuu, achana na hio story yashapitaKaka nguvu waliyotumia waandamanaji ilikua ni zaidi ya vita mkuu, waandamanaji walipigana vita na polisi ground, serikali isingeruhusu shot to kill polisi wangezidiwa. Mimi nilishudia kwa macho sio hadithi wanazoleta jamaa humu mitandaoni. Hizi picha nilipiga mimi wakati natoka kariakoo nirudi home Sinza. Nililazimika kupita kwa miguu kutoka kariakoo hadi mabibo mwisho. Huu ni uharibufu niliokutananao tu njiani. ππΎ makundi makubwa ya watu walichoma kila biashara ya njiani waliyokutananayo .. mlitaka serikali uwazuie kwa mabomu ya machozi.? View attachment 3701422View attachment 3701423View attachment 3701424View attachment 3701425View attachment 3701426View attachment 3701427View attachment 3701428
jamaa hajaonekana mda mrefu uku sjui zamu yake imefika kulisha vikongwe, eti mwaiofhawaiiBabu jinga mwaiofhawaii umuambii kitu kuhusu marekani,limbukeni flan
India kuna umaskini wa kutisha, huu wa Kenya unasubiri sana.picha ya treni ndio source yako ya umaskini au facts ππππππ
au uchumi wa nchi unapimwa na picha ya treni, bro siamini kama ww ndio unaongea haya
huo wa india mbna wa kawaida cheki marekaniIndia kuna umaskini wa kutisha, huu wa Kenya unasubiri sana.